Matangazo

HTML/JavaScript

JE SANDUKU LA AGANO LIKO WAPI?

Sanduku la Agano  ni sanduku lililozungumziwa katika Kitabu cha Kutoka 25:10-22.
Kadiri yake lilikuwa na mbao mbili za mawe zilizoandikwa Amri 10 ambazo Musa alipewa na Mungu kama masharti makuu ya Agano kati yake na Israeli.
Inawezekana ilikuwemo pia fimbo ya Haruni na mana kidogo, ingawa 2Waf 8:9 inasema wakati wa Solomoni hivyo havikuwemo.

sanduku hilo liko wapi sasa

No comments

Powered by Blogger.