Matangazo

HTML/JavaScript

Je wajua teknolojia ya kichawi?

TEKNOLOJIA YA KICHAWI

Kitendo unachokiona hapa sio cha edit ya kompyuta,Bali hata wewe unaweza kufanya ila ni sehemu ya teknolojia za kichawi,

Chukua maji ujaze chungu kikubwa,chuma majani mabichi ya makasikasi UA wondering Jew kwa kiingereza yaitwavyo,

chukua mafuta ya mahindi kiasi kama vijiko viwili,weka dam yoyote hata ya mbuzi kama kikombe kimoja,usiweke chumvi hayatochemka,KUNI za kuchemshia ni lazima iwe miti iliyokatwa juu ya kaburi la mwanamke,katika kuni kumbuka kuchanganya mifupa ya mnyama ulioweka damu yake, hapo maji yatatoa mvuke ila hayatokuwa na joto hata kidogo na utaweza kuingia kwenye maji hayo bila kuungua

No comments

Powered by Blogger.