JIFUNZE NJIA YA KUMVUTA MPENZI KWA KUTUMIA PETE YA SILVA
by maajabu blog
Kazi hii hufanywa wakati wa mwezi mpevu tu. chukua pete ya silva ifunge vizuri kwenye kitambaa safi cheupe na baada ya hapo chimba shimo dogo kisha uifukie pete hiyo. wakati unafukia unatakiwa kutuliza akili bila kufikiria mambo mengine ujitahidi kuwa unavuta taswira ya mapenzi unayoyataka toka kwa mtu huyu[upo naye pamoja,mnakumbatiana,mna enjoy huku na kule,mnapigana mabusu n.k]huku unamwagia juu ya ulipofukia pete kiasi kidogo cha mvinyo{wine]huku unasema maneno haya ''blessed mother fair and tru'' ''this gift i offer unto you''bless this ring and make it shine'' ''bring a lover to be mine'' [ni vizuri useme kwa lugha yako) baada ya hapo acha pete imezikwa ardhini mpaka kipindi kingine cha mwezi mpevu fukua na uvae pete hiyo,siku chache tuu mpenzi huyo ataletwa kwako akiwa na mapenzi makubwa uliyoyanuia.
No comments