Tumefundisha dawa nyingi za mapenzi,zikiwemo dawa za mtu kumfunga mpenzi wake wa kike ama wa kiume hili asiweze kuchepuka.
Wengine huwafunga wapenzi wao hili kama unafanya nae mapenzi upatwe na ugonjwa wa ajabu,tupu zinasane na mambo mengine mengi.
Sasa ukitaka kujua kama mtu uliyenaye amefungwa kiganga/kichawi fanya yafuatayo.
-chuma jani la mwisho kabisa kwenye kilele cha mgomba
-Jani hilo litie kwenye uvungu wa kitanda alichokaa au kulala
Matokeo.
1.ukilitia tu jani uvunguni na likasinyaa hapohapo ujue huyo hafai na atakusababishia majuto.
2.kama jani litakuwa vilevile basi ujue yuko salama na enjoy nae
No comments