Matangazo

HTML/JavaScript

Ijue dawa rahisi ya kifafa na degedege

Ijue dawa ya kifafa na degedege


Habari zenu wapendwa.
Leo nawaletea dawa ya ugonjwa wa kifafa na degedege kwa watoto na wakubwa.

Ugonjwa wa kifafa ni ugonjwa ambao mtu hudondoka na kutoa mapovu mdomoni na kujipiga piga chini.

                  DAWA.
Kwa watoto unatakiwa upate damu ya mnyama anayeitwa pimbi halafu uchanganye na soda yoyote nyekundu mpe mgonjwa anywe (mpangilio wa dozi wasiliana nami kwan inategemea na umri)asubuhi na jioni yani kutwa ×2 kwa muda wa siku 14.mtu mzma atumie nusu kikombe

Dawa ya degedege.

Chukua manyoya ya kuku wa kienyeji,manyoya ya njiwa,manyoya ya mbuzi na majani ya kivumbashi kidogo yaliyo kauka.

    MATUMIZI
Changanya vyote kwa pamoja alafu mgonjwa ajifushe asubuhi na jioni yani kutwa ×2 kwa siku kwa muda wa siku 14.
    Inshallah kwa uwezo wake Allah atapona.

Kama una sumbuliwa na magonjwa ya hospitali,magonjwa ya kichawi,majini,Nyota,nuksi,biashara,mvuto,nguvu za kiume na kike,ugumba nk..

No comments

Powered by Blogger.