Matangazo

HTML/JavaScript

MTAMBUE JINI AMBAYE ANAJIITA Suleimani bin Daud

MTAMBUE JINI ANAYEJIITA SULEIMAN BIN DAUD NA RANGI YA MAVAZI YAKE


SULEIMANI BIN DAUDI

Huyu ndio baba wa majini ni chimbuko la majini wa enzi za nabii ama mfalme suleimani, jini huyu amechukua jina hili la nabii wa Mungu kutokana na kuwepo kwake enzi za mfalme huyo.

Suleimani bin daudi pia ni jini ambaye anapenda Sana ibada na ndio baba wa majini aina ya maruhani wote duniani kwa sasa hiyo ndio heshima yake.na cheo chake

MAVAZI~Anavaa vazi lenye rangi njano, zambarau ama pink.

KAZI YAKE
Kazi zake kubwa ni kumsaidia mtu kwa kumlinda ama kumpa uganga

Huyu jini ni mfalme

No comments

Powered by Blogger.