Matangazo

HTML/JavaScript

Fahamu faida na madhara ya kufuga majini na kufunga ndoa nao

zijue faida na hasara za kufuga jini au kufunga ndoa na kiumbe huyo

Binadamu wanaofunga ndoa na majini hupata faida mbalimbali kama vile ;Mafanikio Katika Biashara ama Kazi anayoifanya.

Kupata mali na utajiri.

Kuwa na uhakika na ulinzi wa biashara na mali zake

Ulinzi wa maisha yake
( Hakuna mchawi anaye weza kukuloga ).

Jinni husika atakusaidia kuufahamu na kuujua barabara ulimwengu usio onekana. Atasaidia kukufungua macho ya kiroho.

Utaweza kuyajua masuala mbalimbali ya kiroho kama vile jinsi ya kujikinga na wachawi, walozi nakadhalika.

Kama unajihusisha na masuala ya uvumbuzi jinni anaweza kukusaidia kuvumbua masuala mbalimbali.

Kama unajihusisha na michezo ya bahati nasibu jinni atakusaidia kushinda.

Kama unajihusisha na utabibu jinni atakuonyesha dawa za matatizo mbalimbali.


Kama unajihusisha na sanaa kama vile muziki, maigizo, filamu au michezo jinni atakusaidia kun’gara na kupata mafanikio katika tasnia yako.

Kama ulikuwa unasumbuliwa na matatizo ya nguvu za kiume ( Kwa wanaume ) jinni atakusaidia kuwa na nguvu za kiume ambazo hujawahi kuwa nazo.

Kama ni mwanamke ulikuwa una tatizo la kutofika kileleni jinni , ukiwa na mpenzi jinni tatizo lako halitakuwepo tena na utafurahia mapenzi.

Kama ulikuwa na tatizo la uzazi halitakuwepo, utazaa na jinni huyo.

Hautakuwa katika hatari ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa wala ukimwi.


Hautakuwa na wasiwasi wa kuibiwa mke au mume pamoja na faida nyingine nyingi tu.




HASARA ZA KUFUNGA NDOA NA JINNI.
Kila jambo lina faida na hasara zake

Utazaa watoto wa kijini ambao hawatakuwa binadamu wa kawaida kwa sababu wanakuwa na damu ya kijini.

Kukutana na mauzauza kwa mfano pale atakapo kutaka muende ukweni kwao ( Ujinini )

Majini wana wivu sana na hawapendi kudanganywa. Akigundua umemdanganya au unajaribu kumkwepa baada ya kufaidika na mali zake adhabu yake huwa ni kifo au kupigwa na ukichaa.


Kama wewe ni mnywaji wa pombe hutaruhusiwa kunywa pombe, ukijaribu kunywa pombe cha moto utakiona.


Kama wewe umezoea kutesa wanawake kwa kuwapiga, basi kwa mpenzi jinni hautaweza.

Kama wewe ni mtu wa kujirusha klabu hautaruhusiwa.

Kama ni mwanamamke hautaruhusiwa kuwa na mwanaume mwingine na kama ni mwanaume itategemea na namna ulivyo kutana na huyo jinni pamoja na aina ya jinni, ikiwa bahati yako basi unaweza kuruhusiwa
kuoa mwanamke mmoja ambaye ni binadamu ambaye yeye jinni mwenyewe atakuchagulia.

Utaishi kwa kufuata masharti na taratibu za kijini


mimi binafsi ni shuhuda wa haya mambo
0653 532036 whatsapp

No comments

Powered by Blogger.