-Nunua mafuta ya simba
-UDI Wa kijiti 4
-Unga Wa baruti
-Magome ya mkungu yaliyokauka
Changanya mafuta ya simba,baruti,na unga Wa magome ya mkungu
Pakaa Dawa hyo kwenye UDI 4 za kijiti
Chomeka udi hizo kwenye pembe NNE za Nyumba au chumba
Washa udi hizo ukianzia kushoto
Lala
Atakayekuja siku hiyo utamuota ndotoni na atatenguka kiuno atakapojaribu kuingia ndani
ONYO
Kwa mwenye majini yanayopanda asifanye akiwa peke yke ndani
No comments