Matangazo

HTML/JavaScript

Fahamu kinga iliyo rahisi ya kuwazuia chuma ulete

Kinga nzuri dhidi ya chuma ulete

Je unaijua *Chuma ulete...? Kwa kisukuma wanaita *BHUGINDU*

Na je unafahamu kinga yake na zuio ili wasikuibie pesa, unga, au chochote ndani mwako....?

Dawa ya kukinga ni hii ukipata mkaa ulio dondoka njiani basi uchukue nenda kauweke kwenye kapu la pesa ukiwa pamoja na tunda lile la njano la ndulele unaviweka pamoja.
Ili huyo mwenye chuma ulete pia ili asiweze kuingia ndani kwako kukwiba unga, pesa na chochote kile basi  pale  mlangoni unapoingilia napo ning'iniza ndulele na huo mkaa ukiwa umeuweka pamoja au ufunge kwenye kitambaa cheusi kisha uning'inize kwa mlango wako hutokaa uone hata chuma ulete anayekuja kukwibia vitu dukani au nyumbani kwako akijaribu ataumbuka mchana kweupe.

Asanteni.

No comments

Powered by Blogger.