Matangazo

HTML/JavaScript

Ijue dawa rahisi ya kurudisha kitu chako kilicho ibiwa


Poleni na mihangaiko ya kila siku naamin mu wazima huku tukiendelea kujikinga na corona virus 》

SOMO LETU LA LEO LITA ZUNGUMZIA KURUDISHA KITU KILICHO IBIWA 》

Kwanza kabisa fanya dawa hii ukiwa umeibiwa kweli usifanye kama haujaibiwa 》

endapo utaibiwa kitu chako na unahitaji kukipata basi fanya haya yafuatayo

1: chukua changarawe za barabarani zilizo letwa na maji/Mvua

2:chuma majani saba ya limao

3:chukua kipande kidogo cha kitambaa chekundu

4; chukua kinyonga 》Baada ya hapo viweke pamoja katika kitambaa hicho chekundu 》

vifunge vizuri kisha chukua moto vifukishe joto kali kwa muda wa robo saa huku ukinuia/ukiomba utakayo ili yamfike mwizi wako 》

ukimaliza hapo nenda kafunge juu ya mti mkubwa kwa siku 7 Hakika mtu wako atakuja kabla ya siku hizo》

Dawa hii ni mujaarabu sana haija wahi kushindwa

Muhimu
MTUHUMIWA WAKO AKIFIKA NENDA KAVIFUNGUE VILE VITU ULIVYO VIFUNGA KWENYE MTI ILI KUMUONDOLEA MATESO

No comments

Powered by Blogger.