Matangazo

HTML/JavaScript

Lijue kabila la toraja lenye mila za kuwazika watoto kwenye miti

Lifahamu kabila la ajabu la toraja linalopatikana inchini Indonesia ambalo Lina watu 1000000 inchini Indonesia lakini limekuwa na mila na tamaduni za kustaajabisha duniani.                                     Kwa wao wanaziona ni mila za kawaida lakini kwa sisi ni mila za ajabu moja baadhi ya mila zao, mtoto mdogo anaekuf Kabla ya kuota meno huwa hazikwi aridhini bali humzika kwenye mti.   
      Na pia kabila hilo limekuwa na tamaduni za kufukua miili ya wafu na kuwavesha nguo Kisha kuwa fanyia sherehe.

No comments

Powered by Blogger.