fahamu maana ya ndoto za magari
Najua tunaota sana lkn leo naomba nizungumzie ndoto za magari.
1. Ukiota umeegemea gari si yako au unaikimbiza gari maana yake utataperi ama kudhurumu ama unapanga kudhurumu Mali ya mwenzako.
2. Ukiota umepewa lift ni ishara ya kusadiwa shida yako kwa Mara moja tu.
3. Ukiota unaendesha gari ni ishara ya mafanikio,pesa utajiri. Kupanda kimaisha.
4. Ukiota umepanda gari kwenda safari yako basi unalolipanga litafanikiwa kwa haraka.
5. Ukiota unahangaika polini ghafra ukiona gari na ukapanda basi shida zitakwisha na kama ugonjwa utapona.
6. Ukiota gari imepata ajari basi ni ishara ya kupata huzuni na mawazo.
7. Ukiota umeachwa na gari ni ishara ya kukosa kazi au kitu kizuri.

No comments