Ugonjwa wa kupoteza kumbukumbu ama kusahau sahau wengi mnaufahamu sana,na mara nyingi nimekuwa napata simu kutoka kwa watu mbalimbali juu ya tatizo hili haswa wanafunzi, leo nitaelekeza tiba ya kumaliza kabisa tatizo hili na kufanya uwe vizuri katika kumbukumbu
Chagua moja kati ya hizi
1 chukua ubani mushtaka twanga upate unga uchanganye na tangawizi ya unga vyote viwe ujazo sawa kisha utachanganya na asali mbichi utatumia kwa kula ujazo wa kijiko cha xhai kutwa x2 kila baada ya kula siku 14
2 Fanya fusho hili uwe unajifukiza
Uwatu
Qust
Habatsoda
Unga wa ndimu
Unga wa parachichi
Unga wa mwinula
Unga wa hardal
Unga wa mlipu
Vichanganye vyote pamoja tumia kwa kujifukiza tu asubuhi na jioni kutwa x2 siku 5
Hakika akili itafunguka na utakuwa na ufahamu mkubwa
No comments