Mchukue kinyonga umlishe mbegu za msike sike au wengine huita lufyambo
na umfunge kitambaa cheusi kisha mfukie njia panda kwa muda wa siku 7 kisha umfukue na umuunguze,
Kabla hujamuunguza umtapishe hizo mbegu maana mbegu hizo zitatumika katika kuzindikia.
Matumizi
Weka unga huo katika kichupa chenye asali kisha uchukue asali hiyo upake hivyo vimbegu na uvifunge katika kitambaa cheusi kisha fukia mlangoni.
Akiingia mchawi hawezi kutoka na opoo lake ni kumpiga na fagio ndyo anazinduka.
No comments