Ukiota ndoto hizi kati7ni ishara ya kuwa tajiri
ukiota ndoto hizi 7 ni ishara utakuwa tajiri
Watu wengi wanawaza kuwa na pesa.
Wameahidiwa maisha mazuri ama kazi nzuri ama kupewa mitaji ya pesa nyingi hivyo wanasubiria. Sasa kama utaota ndoto hizi basi jua utapata pesa nyingi,utajiri ama kitu kizuri.
1. Kuota 777
Hii ni namba kubwa sana ya utajiri na yeyote atakayeiota hii basi atakuwa tajiri muda mfupi. Waweza ona watu wamejipanga ktk mafungu matatu na kila fungu wapo saba saba. Ama kuona miti 21 ktk mfumo wa saba.
2. Kuota unahifadhi pesa sehemu ya usalama.
Hii ni pale unapoota aidha umepewa pesa ama una pesa na umekwenda kuhifadhi sehemu Salama ili uzitunze kama kwenye kopo,droo,bakuli lenye mfuniko ama bank hii ni ishara ya utakuja kumiliki pesa nyingi sana .
3. Kuokota pesa za coin za zamani.
Ukiota ndoto hii jua utapata pesa sana.
4. Kuota unafanya mtihani na umefauru kwa alama za juu hadi unasifiwa na watu
. Jua wewe utakuja kuwa pesa na utaanza kupata baada tu ya kuota.
5. Kuota mwanamke amejifungua mtoto wa kike ili hali si mjamzito ama mwanaume kuota mkewe ama mpenzi wake amejifungua mtoto wa kike.
Ukiota hivi sahau kuhusu njaa au shida. Ila muotaji asiwe anaota Mara kwa Mara pia asiambatane na ndoto za mapenzi,kunyonyesha ama ujauzito atakuwa na jini mahaba.
6. Kuota umekuwa raisi ama mkubwa ktk nchi na watu wanakushangilia na kukuheshimu
hii ni ishara ya kuja kuwa tajiri na nguvu kubwa na maarufu sana.
7. Kuota umepanda mlima mrefu sana kwa tabu na ukafika kilelenj juu kabisa ulipofika ukajikuta unaamua kukaa huko na usirudi tena ulikotoka.
Amini nakwambia ukiota hivi wewe ni tajiri na utabaki kuwa tajiri. Urefu wa mlima ndio ukubwa wa utajiri wako.
Kumalizia yakupasa ujue kwamba ndoto hizi haziji bila M/mungu kuamua kukuotesha kwa maana ndoto njema zote za mafanikio hutoka kwake na hakuna mwenye uwezo wa kukutengenezea kuota ndoto hizi.
No comments