Kablu ya Simba haihusiki na barokoa zinazo uzwa sokoni
Kablu ya Simba imekana vikali kujihusisha na uuzwaji wa barokoa inchini .kauli hiyo imetolewa na uongozi wa Simba baada ya kuwepo madai kuwa Simba sport club inajihusisha uuzaji wa barokoa inchini. Madai hayo yame elezwa na uongozi wa Simba kupitia ukurasa wao wa instragram.
Huku uongozi wa Simba ukiahidi kuchukua hatuakali Kali dhidi ya wale wanao tumia vibaya nembo ya Simba sport club
No comments