Dawa rahisi ya kumuona wachawi live
Natumaini wengi wetu tutamani kuwa waona wachawi live wakiwa katika harakati zao basi leo nitakuelekeza dawa rahisi ya kuwaina wachawi Kabla sijaaanza napenda kutoa angalizo 1) ina bidi usiwe muoga pindi utakapo waona Wala usipige kalele mpaka watavyoondoka. ( 2) inabidi uwe na kinga dhidi ya nguvu zao. Kama utaweza haya mashart basi fanya yafuatayo. Chukua majani ya kisamvu ya twange mpaka yatoke maji, hayo maji yake ya chukue jipake usoni. Baada ya hapo nenda sehemu ya njia panda kama watakuwepo wachawi utawaona. Au kama wakija nyumbani kwako utawaona
No comments