. Ugonjwa huo uliibuka mwaka 1918 inchini marekani ugonjwa huu ulikuwa una fanana kila kitu na ugonjwa wa corona. ugonjwa huu husambaa katika maeneo ya mikusanyiko ya watu na watu wengi waliopoteza maisha Kwa sababu ya mapafu kushindwa kufanya kazi.
No comments