Kama unaota ndoto hizi mara kwa mara tambua maisha yako yapo hatarini
Search
KAMA UNAOTA NDOTO HIZI MARA KWA MARA JITAMBUE UPO HATARINI
1. UKIOTA UNAHESABU PESA
Hii inamaanisha kwamba nyota yako ya UTAJIRI imeshaibiwa na wachawi.
2. KUOTA UNAWAONA WATU WALIOKUFA
Hii inamaanisha tayari na wewe unaandamwa na ROHO YA MAUTI, unatafutwa kuuawa kwa namna yoyote.
UKIOTA UMEYARUDIA MAISHA YA UTOTONI AU UNASOMA SHULE WAKATI USHAMALIZA ZAMANI
Hii inamaanisha unafuatiliwa na ROHO YA KUANGUKA, hii ni dalili ya kufungwa na roho za mizimu na mababu.
4. UKIOTA UNAFUKUZWA NA MAADUI
Hii inamaanisha WACHAWI WANAKUTUMIA kwenye mambo yao pasipo wewe kujijua.
5. Kuota unakula/ kulishwa vyakula usingizini/ ndotoni
Hii inamaanisha UMEPANDIKIZWA ROHO ZA KICHAWI na za mizimu mwilini mwako.
6. UKIOTA UNAFANYA MAPENZI
Hii inamaanisha UNAMILIKIWA NA MAJINI MAHABA, na hiki ndicho chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika na wengi kuwa na tatizo la utasa na hata wanawake kutoolewa kabisa

No comments