Matangazo

HTML/JavaScript

UKIJIOPAKA TONGO TONGO ZA MBWA MWEUSI UTAWEZA KUYAONA MAMBO YASIOWEZA KUONEKANA KWA MACHO YA KAWAIDA

Ukijipaka tongotongo za mbwa mweusi utakuwa na uwezo wa kuona mambo yasiyoonekana kwa macho ya kawaida


Atakayechukua  Tongo tongo za Mbwa mweusi na akajipake kwenye macho yake kisha akatoka nje au kutembea njiani au kwenda sokoni atawaona Majini, Mashetani, Wachawi na mambo mengine ya ajabu yasiyoonekana kwa macho ya kawaida

cha msingi asiwe muoga kwa atakayoyaona sababu ametaka mwenyewe

Tahadhari
Kabla ya kufanya hivi hakikisha una kinga.

No comments

Powered by Blogger.